MAANA YA MWANAMKE THAMANI- EP -01 - MWANAMKE THAMANI

TV Online Channel

Tuesday, January 30, 2018

MAANA YA MWANAMKE THAMANI- EP -01







Video hii inaelezea kinagaubaga juu ya thamani ya mwanamke, ipi ni thamani ya mwanamke kwake yeye mwenyewe na jamii inayomzunguka? Ni nini huwa kinatokea baada ya Ndoa? Yale maneno mazuri na yanayopendeza huwa yanakwenda wapi? Je ni wote hubadilika au ni mwanake pekee? Je ipo njia ya kurekebisha hali hii au ndio tukubaliane na matokeo?



Nakukaribisha kutizama kipindi cha kwanza cha Mwanamke Thamani, video hiyo itakujibu maswali yote hayo niliyoandika.



Mwanamke Thamani " Wewe umewazidi wote"




No comments:

Post a Comment

Unaweza kutoa ushauri au kuwasiliana nasi kwa mafunzo zaidi, karibu sana